Tuesday, July 22, 2014

THE DREAMS - PROD N DIRECTED BY DEEJAY KAY DEE BEATZ/FILM

ONE OF MY WORK..THE DREAMS PROD AND EDITED BY DEEJAY KAY DEE BEATZ/HYPER PRODUCTIONS INC..

Tuesday, July 15, 2014

GO BEYOND THE CAMERA …CANON EOS 5D MARK II SHUTTER 30 SEC ISO 250 CANON EF 40-70mm L Lens..Photo by KD BEATZ

What a photo

Its Amazing...

So creative...
Photo by KD BEATZ..


Canon EOS 5D mark II shutter speed 30 sec, ISO 250 EF 40-70mm L lens...

Friday, July 11, 2014

WATANZANIA WALIKUSANYIKA KWA WINGI KWENYE MSIBA WA DADA YETU MAREHEMU SABRA OMAR NA LEO HII SHUGHULI ZA MAZIKO ZIMEFANYIKA KATIKA MAKABURI YALIYOPO JIMBO LA IBARAKI.NDUGU WA FAMILIA WA MAREHEMU WANATOA SHUKRANI KWA WOTE WALIOWEZESHA ZOEZI HILI.SASA BASI JUMAPILI SIKU YA TAREHE 13 JULY 2014 KUTAKUWA NA KISOMO NA FUTARI NYUMBANI KWA MAREHEMU SAGAMINO KUANZIA SAA KUMI NA MBILI JIONI.


Watu wa mataifa mbalimbali walio kuwepo nyumbani msibani

Mume wa marehemu wa kwanza kulia


Majadiliano yakiendelea


Nyuso za uzuni kila kona
Dada wa Marehemu dada Moza
Mume wa Marehemu dada Sabra Omar akiungalia mwili wa mkewe
So sad
Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Japan Bwana David P semiono akiweka mambo sawa
Pumzika kwa Amani dada yetu dada Sabra Omari


Dada Moza akifafanua jambo juu ya historia ya marehemu
Afisa balozi wa Ubalozi wa Tanzania Japan bwana Francis musongo akiweka mambo sawaWATANZANIA WALIKUSANYIKA KWA WINGI NYUMBANI KWA MAREHEMU DADA YETU DADA SABRA OMAR MAENEO YA SAGAMINO KATIKA JIJI YA EBINA JIMBO LA KANAWAGWA.TARATIBU ZA MAZIKO ZILIPANGWA NA KUFIKIA LEO HII SIKU YA TAREHE 11 JULY 2014 WATANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA BAADHI YA MATAIFA MWNGINE TUMEFANIKISHA KUULAZA MWILI WA MAREHEMU DADA YETU MPENDWA DADA SABRA OMAR AMBAYE ALIZIKWA KIISLAM KATIKA MAKABURI YALIYOPO JIMBO LA HIBARAKI.

MAREHEMU DADA SABRA OMAR ALIFARIKI GHAFLA NYUMBANI KWAKE SIKU YA TAREHE 8 JULY 2014 KWA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.

NDUGU WA MAREHEMU WANATOA SHUKRANI ZAO ZA DHATI KWA WOTE WALIOFANIKISHA SHUGHULI HII TOKEA MWANZO.HAWANA CHA KUWALIPA ZAIDI YA KJUWAOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU MBARIKIWE ZAIDI.

MWENYEZI MUNGU ILAZE PEMA ROHO YA MAREMU PEPONI….AMINA..

Thursday, July 10, 2014

DADA SABRA OMAR AFARIKI DUNIA NCHINI JAPAN

DADA SABRA OMAR MTANZANIA ALIYEKUWA ANAISHI KATIKA JIMBO LA KANAGAWA PREFECTURE,EBINA CITY SAGAMINO AMEFARIKI DUNIA JUZI USIKU SIKU YA TAREHE 8.JUNE 2014.

TARATIBU ZA MAZISHI BADO HAZIJA JULIKANA ILA TUNAWAOMBA WATANZANIA WOTE TUKUTANE LEO TAREHE 10. JUNE 2014 KWENYE MKUTANO MAALUM ILI KUJADILI TARATIBU ZA MAZISHI YA DADA YETU MAREHEMU SABDA OMAR.

MKUTANO UTAFANYIKA LEO MAENEO YA SAGAMINO KWA DADDY KWENYE UKUMBI WA MUCH MORE KUANZIA SAA KUMI NA MBILI JIONI.ADRESS NI HII HAPA

KANAGAWA PREFECTURE,
AYASE SHI,
1-28-31 OGAMI.

MWENYEZI MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU.

Tuesday, July 8, 2014

HAPPY BIRTHDAY ERINA @ ENOSHIMA BEACH

Chillin..Birthday Girl..Erina


Kenji

Erina
Mika

Dj Kay Dee BEATZ and ma brother Jumpei
Great Depth of field..Shot by Canon 5D mark IIBaby SarahNiiiice..


BBQ


Dj Kay Dee BEATZFireeeee..
Birthday cake